Envaya

/TYNF/post/31: Kiswahili: WIPhJVKxPZCbAM648WhduuPg:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili

CHF card zimetolewa 400 kwa kaya 400 wakati wa utekelezaji wa mradi wa jali watoto,kila card 1 inahudumia watoto 4  katika kaya

-masaada wa kadi za matibabu umeendelea kuwa saidia watoto wengi kwa upande wa matibabu pia imeraisisha upatikanaji wa huduma wakati (pindi) watoto wanapo itajihuduma za kiafya

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe