kufuatilia maendeleo ya mradi – c)wanakamati kuwa wagumu wa mapokeo (kuelewa) – -baadhi ya wanakamati hawajui kusoma na kuandika – d)mabadiliko yafanyike, kamati ziundwe upya kwa kuzingatia vigezo vya kujua kusoma na kuandika – e)nimejifunza kwamba, wakati kamati zilipokuwa zinaundwa hakukuwa na umakini , jambo lililofanya kupatikana kwa kamati zisizijua kusoma na kuandika. – f)kamati zivunjwe(zifanyiwe marekebisho) ... | (Bila tafsiri) | Hariri |