(B)kufanya uhuishaji wa takwimu za watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi na mahitaji yao.Vilevile kujua ni watoto wangapi wamezidi umri wa chini ya miaka 18 na niwangapi wamesajiriwa kwa mara ya kwanza katika daftari la usajiri. – (C)Changamoto kubwa tuliokumbana nayo ni kutoka na geographia ya wilaya ya sikonge kuwa mbaya hivyo basi barabara nyingi zimekua zikipitika kwa shida sana .Vilevile kulingana na bajeti ya mradi posho iliyopangwa kwa wafunyakazi hazitoshi kabisa... | (Bila tafsiri) | Hariri |