TAARIFA YA CAG – Ninaamini kwa kila aliye mtanzania mzalendo taarifa hii inamuhusu ,maoni yangu juu ya nini kifanyike ni kuwa kila aliyehusika na ubadhilifu huu achukuliwe hatua ,maana tunaweza kutaka mawaziri wajiuzuru nao wakafanya kama tulivyotaka ,lakini je ndo tuishie hapo ?mimi nadhani kuna haja ya kurudi nyuma na kuangalia watendaji nao wanafanya nini ,mfano wakuu wa idara,wakuu wa vyuo vilivyotajwa ili tuweze kurudisha pesa za umma ili zikafanye kilichokusudiwa na... | (Not translated) | Hindura |