Base (Swahili) | English |
---|---|
TAARIFA YA CAG Ninaamini kwa kila aliye mtanzania mzalendo taarifa hii inamuhusu ,maoni yangu juu ya nini kifanyike ni kuwa kila aliyehusika na ubadhilifu huu achukuliwe hatua ,maana tunaweza kutaka mawaziri wajiuzuru nao wakafanya kama tulivyotaka ,lakini je ndo tuishie hapo ?mimi nadhani kuna haja ya kurudi nyuma na kuangalia watendaji nao wanafanya nini ,mfano wakuu wa idara,wakuu wa vyuo vilivyotajwa ili tuweze kurudisha pesa za umma ili zikafanye kilichokusudiwa na wapangaji wa maendeleo ya nchi yetu ya maziwa na asali,toa maonin yako na wewe nini tufanye ili tuweze kunusuru nchi dhidi ya wanyanganyi hawa maana hawana tofauti na majangiri au wauaji
|
INFORMATION CAG I believe each is a Tanzanian patriot this report inamuhusu, my opinion on what should be done is that each was responsible for dishonesty among this be treated step, because we may want ministers wajiuzuru and they do as we want, but do membrane tuishie there? I think there need to step back and looking actors and what they are doing, eg heads of department, heads of colleges mentioned so we can restore public money to zikafanye intended to tenants of the development of our land of milk and honey, give maonin yourself and what you do so that we can save the country against the thief These means are different by pirates or murderers |
Translation History
|