Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
Maisha ni kila kitu kwa kila mtu aliyeumbwa na mwenyezi mungu,mabinti wadogo wamekuwa wakipata shida nyingi baada ya kupata ujauzito wasioutalajia , lakini sababu kubwa ni nini?ebu na tuangalie namna ya kuisaidia jamii ya Tanzania juu ya tatizo hili la mimba za utotoni: wadau naomba maoni yaenu nini chanzo na nini kifanyike asanteni sana |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe