Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/TYD/projects
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
HIFADHI YA MAZINGIRA – Tumepanda miti katika msitu wa umuishanga na kutoa elimu juu ya kuhifadhi msitu kwa jamii ya watu wasiopungua 150000,mradi ulianza mwezi Agosti mwaka2011. – ELIMU YA UKIMWI: – Tumeelimisha wanafunzi wote wa shule za sekondari zilizopo katika kata ya KANYIGO juu ya elimu ya UKIMWI namna ya kujilinda na maambukizi ya mapya,mradi huu umesaidia sana kupunguza maambukizi mapya ya VVU – KILIMO CHA UMWAGILIAJI ...
(Bila tafsiri)
Hariri