Base (Swahili) | English |
---|---|
Shirika liko katika hatua za mwisho za kuanzisha huduma ya ushauri nasaha na upimaji wa Hiyari wa Virusi vya UKIMWI kwa wakazi wa Mkoa wa Morogoro kuanzia Jumatatu ya Tar 7/06/2010..... Wote mnakaribishwa!!!!!!!!! |
The organization is in final stages of setting up counseling services and voluntary testing for HIV / AIDS in Morogoro Region residents from Monday's picks 7/06/2010 ..... welcome you all!! !!!!! |
Translation History
|