Base (Swahili) | English |
---|---|
SCHOLARS FOCUS AGAINST SOCIAL MISERIES (SFASM). RIPOTI MAALUM KUHUSU KIKAO CHA MRENGO (MTWARA REGION NGOs` NETWORK.) MADA; TATHMINI YA KIWANGO CHA UFAULU WA WANAFUNZI WA DARASA LA SABA NA KIDATO CHA NNE MKOANI MTWARA. Hivi karibuni MRENGO waliandaa mdahalo maalum uliohusisha wadau mbalimbali wa Elimu mkoani Mtwara mnamo tarehe 08/10/2011,kuanzia saa mbili asubuhi katika ukumbi wa chuo cha ufundi maarufu kama `Masandube` ambao ulichukua takribani masaa saba, ,pia viongozi mbalimbali walialikwa ikiwemo Wabumge,Madiwani,Walimu,Wazazi na taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali. Mjadala; Hapo awali Mwenyekti wa MRENGO alimkaribisha mgeni rasmi ambaye alikuwa Mkurugenzi wa manispaa mkoa,kisha afisa Elimu Mkoa aliwasilisha mada,hali ya maendeleo ya elimu Mkoani Mtwara,kisha azaki mbalimbali zilipewa fursa ya kuwasilisha mkakati mbadala wa kuimarisha ubora wa elimu mkoani Mtwara ikafuatiwa na majadiliano ya wadau wote juu ya nini tatizo na nini kifanyike ili kuiokoa hali ya elimu Mtwara. Hata hivyo imeelezwa kuwa kiwango cha ufaulu hususan katika shule za msingi Mtwara kinazidi kushuka mwaka hadi mwaka kama kwa mujibu wa Takwimu zilizotolewa na Afsa Elimu Mkoa Pichani (kushoto)ni mgeni rasmi Mkurugenzi wa Manispaa Mkoa akitoa hotuba juu ya maendeleo ya Elimu mkoani Mtwara, (kulia) Afsa Elimu wa mkoa wa Mtwara akitoa takwimu juu ya Elimu. Matatizo yaliojitokeza; Miongoni mwa matatizo yaliojitokeza ni;
Changamoto zingine zikiwemo,Umaskini,Mfumo mbovu wa sheria,Upungufu wa miundombinu,Uhusiana mbovu kati ya walimu na wanafunzi,Ukimwi,Mshahara(kipato) mdogo kwa waalimu na Ajira kwa watoto. Pichani ni Wanaharakati kutoka SFASM Bi Mdee Mwanaiza (kushoto) Bw.Living Anthony (Katikati).Bw Mahenge Godian (Kulia) wakichangia mada juu ya Elimu. Majumuisho ya mwisho ya watoa mada; Wajumbe waliombwa kutengeneza vikundi maalumu kwa ajili ya kufanya hitimisho la nini kifanyike,kisha viongozi wa vikundi hivyo walipewa fursa maalumu ya kuwasilisha kwa maelezo. · Kuangaliwa tena kwa Sera na Sheria ya elimu nchini kwa ushirikishaji wa wadau mbalimbali wakiwemo wataalam
Kuachana na Tamaduni na Mira potofu hususani zinazomkanadamiza mototo wa kike . Pichani(kushoto) Wadau alipewa nafasi kuunda vikundi ili kujadili nini kifanyike kukabiliana na changamoto katika Elimu (Kulia) Wadau wa Elimu kutoka Asasi mbalimbali. Hitimisho; Mdahalo ulionesha kufanikiwa kwa kiasi fulani japo viongozi mbalimbali wa kiserikali walionekana kutoitikia mualiko huo mfano Wabunge na kwa mujibu wa mwenyekiti wa MRENGO kuwa hiyo ni hali inayojirudia mara kwa mara kwa viongozi wetu.Mijadala imekuwa ikitumika kufikisha ujumbe kwa jamii au wadau mbalimbali kama walivyofanya MRENGO,lakini bado kuna changamoto ya kutotimiza mikakati hiyo kwa vitendo.
|
Scholars Against SOCIAL FOCUS SERIES (SFASM). REPORTS ON SPECIAL SESSION wing (MTWARA NGOs' NETWORK REGION.) TOPIC: EVALUATION OF STUDENTS pass rate in Grade SEVEN TO FORM FOUR Mtwara. Wing recently organized a special debate involving various stakeholders in education in Mtwara on 08/10/2011, starting at two in the morning in the college hall known as 'vocational' Masandube which takes about seven hours, various leaders also were invited, including Wabumge, counselors, teachers, parents and non-governmental institutions. Debate; Previously Mwenyekti wing invited guest who was director of the municipal region, then the official Regional Education presented the topic, the development of education in Mtwara, then CSOs range were given the opportunity to present strategic alternatives to enhance the quality of education in Mtwara followed by discussion all stakeholders on what the problem and what can be done to save the state of education in Mtwara. However indicated that the level of performance, particularly in primary schools in Mtwara falling from year to year as, according to figures released by the Regional Education Afsa Pictured (left) is the guest of the Director of Regional Municipality a speech on the development of Education in Mtwara, (right) Afsa Education in Mtwara region giving figures on Education. Yaliojitokeza problems; Among yaliojitokeza problems are;
Other challenges including, poverty, poor system of law, infrastructure deficiencies, poor interconnected between teachers and students, AIDS, wages (income) limited jobs for teachers and children. Activists from SFASM pictured is Ms. Dee Mwanaiza (left) Bw.Living Anthony (center). Mr Mahenge Godian (right) contributed a paper on Education. Summary of the final speakers; Members were asked to create special groups for making conclusions about what should be done, then the leaders of the groups were given a special opportunity to submit for details. · Spotlight re-education policy and law in the participation of various stakeholders, including experts
Abandon the traditions and practices Mira zinazomkanadamiza especially female child. Pictured (left) was given the opportunity to create a stakeholders group to discuss what can be done to deal with challenges in education (Right) The Education Stakeholders from various organizations. Conclusion; The debate proved successful to some extent, though leaders of the organization seemed kutoitikia believe is the model Parliament and according to the chairman of the wing that is the situation inayojirudia often leaders wetu.Mijadala been used to convey a message to the community or stakeholders, as did the wing, but there are still challenges of keeping these strategies into action.
|
Translation History
|