Historia ya Fupi ya Shirika na Shughuli Zake
SEDIT ni shirika lisilo la kiserikali lililosajiliwa Februari 23, 2005 chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ambalo makao makuu yake yapo Ilala Sharifu Shamba, kitalu namba 58. Shirika letu limekuwa likijihusisha na uanzishaji wa vikundi vya kuweka na kukopa katika maeneo mbalimbali nchini kwa kutumia mfumo wa VICOBA (Village Community Banks) ambao ulianzishwa na shirika letu hapa nchini... | (Not translated) | Hindura |