Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/VECA/post/82779
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
mumekuwa mnafanya vizuri katika kutekeleza miradi na kutoa taarifa mbona muko kimya kipindi hichi ama hamna shughuli munazo tekeleza kwa kipindi hichi?
(Bila tafsiri)
Hariri
Jumuiya ya Kuhifadhi mazingira Vitongoji (VECA) kwa kipindi hichi inaendesha mradi ushawishi na utetezi wa haki za wanawake na kumiliki ardhi. Mradi huu ni wa miaka 3 na unafadhiliwa Foundation flor Civil Society LTD. – Lengo kuu la mradi ni kuwatetea wanawake ambao wanakosa haki zao za msingi za kumiliki ardhi kutokana na mila na desturi potofu zinazo fanyika katika maeneo mingi ya visiwa vya Zanzibar. Katika hali hii wanaume wanakuwa wanawakosesha wanawake hasa baada ya kuolewa...
(Bila tafsiri)
Hariri