Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/TAHCO/topic/123681
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Ndugu wapendwa wenye moyo wa kujitolea na kujaribu kupambana na jambo la watoto wa mitaani,mnadhani ni jambo gani ambalo linafanya kuongezeka siku hadi siku idadi kubwa ya watoto wa mitaani?na tunafanya nini kupunguza ama kutokomeza jambo hili? – huwa napatwa na uchungu napowaona watoto hawa wakiwa barabarani wakisubiri folen ili waombe kwenye magari,roho inaniuma sana ukizingatia hata maeneo yao ya kulala imekuwa shida kwao,nimejaribu kufanya research juu ya jambo hili,nikakaa...
(Bila tafsiri)
Hariri
Je ni sababu gani kubwa inayosababisha kuongezeka kwa watoto wa mitaani?
(Bila tafsiri)
Hariri