TEYODEN wafanya mkutano na wadau wa maendeleo ya vijana manispaa ya Temeke – Katika kujiandaa na utekelezaji wa mradi wa kuongeza ari ya uwajibikaji wa vijana katika ushiriki na ushirikishwaji katika shughuli za kijamii na kimaendeleo ,leo TEYODEN imeanza utekelezaji huo kwa kufanya kikao na wadau wa maendeleo ya vijana katika manispaa ya Temeke,ambapo jumla ya washiriki 26 waliotakiwa kuhudhuria kikao hicho wote... | TEYODEN make a meeting with stakeholders in the development of municipal youth Temeke – In preparing and implementation of the project to add a sense of responsibility of youth in participation and involvement in social activities and development, today TEYODEN begun implementation by conducting session with stakeholders in the development of youth in the municipality of Temeke, where the total participants 26 were required... | Edit |