Base (Swahili) | English |
---|---|
Vijana wa TEYODEN wajadili ukimwi kwa kina Katika kukabiliana na changamoto zinazowakabili vijana hapa nchini,vijana wa TEYODEN hivi karibuni walipata fursa ya kuyaunganisha mawazo yao kwa njia ya mjadala kuhusiana na ugonjwa wa ukimwi ikiwa ni katika mfululizo wa mijadala inayofanyika mara mbili katika kila mwezi. Katika mjadala huo vijana waliona ni muhimu kukawepo na wataalamu toka idara ya afya,viongozi wa dini na ikiwezekana awepo kiongozi mmoja toka serikalini,kwani mara nyingi umekuwepo mgongano wa matumizi ya kondomu kwa wale wanaohitaji kufanya hivyo wakati huo huo viongozi wa dini wanalipinga hilo. Na katika kupingana huko kumesababisha wanaharakati kuonekana kama wanatoa mafundisho yaliyo kinyume na maadili ya dini. Pia kuna changamoto nyingine iliyoibuliwa na vijana hao hususani pale wanapopata mafunzo kutoka TEYODEN huwa hawapewi vyeti vyenye kuonyesha ushiriki wao,na katika hilo uongozi wa TEYODEN umelikubali hilo na utalifanyia kazi mara moja.Sambamba na hilo pia kulipendekezwa kuwepo kwa vitambulisho kwa vijana wote wa TEYODEN katika kata zao ikiwa ni sehemu ya kujitambulisha kwao kwa jamii. Kila jumamosi ya pili na ya mwisho wa mwezi vijana hawa hukutana na kufanya mijadala kuhusu mambo mbalimbali yanayowahusu. |
Youth TEYODEN discuss HIV / AIDS in detail,,,, In responding to the challenges facing youth in the country, young TEYODEN recently had the opportunity affiliation their ideas through discussion related to HIV / AIDS, including in a series of discussions undertaken twice in each month.,: In the discussion that young men find it necessary kukawepo and experts from the department of health, religious leaders and possibly generated one leader from the government, as often has been present conflict of the use of condoms for those who want to do that while leaders religion to oppose it. and conflict in has led activists to appear as provide instruction that is against the values of religion.,: There are also other challenge iliyoibuliwa and youth them especially when they get the training from TEYODEN are not granted a certificate on display their participation, and in this leadership TEYODEN you accept it and work lifanyia moja.Sambamba and it was also present for kulipendekezwa cards TEYODEN all youth in their wards as part of their identification with the community. ,, Every second Saturday and last of these new young people to meet and dialogue about issues that affect them. |
Translation History
|