Envaya
/TEYODEN/post/5192
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Hongera kwa kazi njema kabisa!
(Bila tafsiri)
Hariri
TEYODEN yajiandaa kuendesha mafunzo ya uanzishaji wa VICOBA Temeke – Katika kupambana na umaskini TEYODEN itaendesha mafunzo kupitia midahalo ya kila wiki kwa vijana wake juu ya uanzishaji wa benki za kijamii,maarufu kama VICOBA. – Mafunzo hayo yataendeshwa kwa njia ya midahalo na mwezeshaji Gabriel Gesine aliyehudhuria mafunzo ya uanzishaji wa VICOBA yaliyoendeshwa na WWF ofisi ya Tanzania pale Maili Moja,Kibaha. ...
(Bila tafsiri)
Hariri
Donation
(Bila tafsiri)
Hariri