Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/TEYODEN/post/115497
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Donation
(Bila tafsiri)
Hariri
MRADI WA MABINTI WALIOPEMBEZONI WATEMBELEWA NA MGENI KUTOKA MADAGASKA. – Mgeni wa kutoka Nchini Madagaska, Bi. Marium Toure ambaye ni Ofisa kutoka UNICEF Madagaska ametembelea mabinti ambao ni walengwa wa mradi wa kujenga uwezo wa mabinti waliozaa katika umri mdogo na kutulekezwa na wenzi/familia zao. – Mradi huu unatekelezwa katika kata 4 za Manispaa ye Temeke, kwa ushirikiano kati ya TEYODEN watekelezaji,TAMASHA wasimamizi na...
(Bila tafsiri)
Hariri