TEYODEN YAFANYA MAFUNZO REJEA KWA MENTORS MRADI WA KUJENGA UWEZO WA KINAMAMA WADOGO WALIOSAHAULIKA. – TEYODEN imefanya mafunzo rejea ya siku 3 kwa mentors(walimu wa wasichana) 16 kutoka kata za Azimio,Kibada,Vijibweni na Mtoni.Mentors hawa hapo awali walipatiwa mafunzo ya satdi za maisha,elimu ya ujasiriamali na mafunzo ya uwezeshaji ili waweze kuwa walimu,waangalizi lakini kama walezi kwa wasichana 80 katika kata 4 za mradi kama zilizokwisha taja hapo juu. – katika... | (Not translated) | Hindura |