TANZIA – MTANDAO WA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE UNAWATANGAZIA KUWA TUMEPATWA NA MSIBA WA KIJANA MWENZETU ABDUL BWANGA ALIYEKUWA AKIISHI KATA YA YOMBO VITUKA MANISPAA YA TEMEKE.MAZISHI YATAFANYIKA YOMBO DOVYA TAREHE 15/2/2014.VIJANA WOTE TUNATAKIWA KUSHIRIKI MAZISHI HAYO. (image) MAREHEMU ABDUL BWANGA WA PILI KUTOKA KUSHOTO... | (Bila tafsiri) | Hariri |