KIKAO NA ANNIE MARIE KATIKA HOTEL YA HOLIDAY IN JIJINI DAR-ES-SALAAM. – Safari ya Annie Marie kuja Tanzania yamkutanisha na Rafiki yake Prosper Maokola na Uongozi wa TEYODEN.Annie Marie ni mwanaharakati wa masuala ya vijana kutoka Canada akijishughulisha zaidi na masuala ya kambi za vijana sehemu mbalimbali za africa na marekani. ... | (Not translated) | Edit |