Base (Swahili) | English |
---|---|
WIKI YA VIJANA YAISHA SALAMA MKOANI SHINYANGA HUKU WILAYA YA TEMEKE IKIIBUKA MSHINDI WA KITAIFA. Maadhimisho ya wiki ya vijana ya mwaka 2012 yamefanyika mkoani shinyanga kwa kuhusisha halmashauri mbalimbali za wikaya na mikoa hapa Tanzania.Maadhimisho haya hufanyika kila mwaka kama wiki ya vijana ya kutathmini mipango ya vijana na kuweka vipaombele kwaajili ya maendeleo ya vijana hapa nchini Tanzania. Wiki hii huwa inaenda sambamba na maadhimisho ya kumuenzi baba wa taifa ambaye alifariki dunia siku ya terehe 14/10/200.Ili kuenzi mambo mazuri ambayo ameyaacha shughuli mbalimbali hufanywa ikiwemo mihadhara,makongamano maonyesho ya bidhaa na shughuli mbalimbali za sanaa.Yote ni kuenzi tu yale tu ambayo mwalimu nyerere ametuachia kama kumbukumbu ya kudumu. Halmashauri ya manispaa ya Temeke iliwakilishwa na afisa maendeleo ya vijana na vijana 3 kwaajili ya maadhimisho hayo.TEYODEN iliwakilishwa na Maulidi Mziwanda mwenyekiti wa kituo cha vijana cha Azimio. |
YOUTH WEEK IN SAFE YAISHA SHINYANGA with IKIIBUKA Temeke regional winner. Youth Week celebrations in 2012 has been made in Shinyanga Region involving various councils and regions here Tanzania.Maadhimisho Chikaya takes place every year in the week to assess young youth programs and priority setting in favor of the development of young people in Tanzania. This week is going along with the celebration of the national honor of the father who died on February 14/10/200.Ili honoring renown best things that has left various activities are held, including lectures, conferences exhibitions of various products and activities sanaa.Yote only partner just what Nyerere has made as a permanent record. Temeke Municipal Council was represented by an official youth development and youth 3 in favor of the celebration is yo.TEYODEN Maulidi last child was represented by the chairman of the Resolution youth center. |
Translation History
|