Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
1.Kuunganisha watu wote wenye taaluma ya uchongaji wa Almasi na Vito kuweza kutumia taaluma yao kujitafutia kipato. 2.Kusaidia watu wasiojua/wasiotambua au kupambanua aina mbalimbali za Madini ili waweze kutambuliwa "mawe/vito/madani"wanavyovipata kwa kuokota nk. 3.Kusaidia kupata Dira ya bei kwa kuzingatia ukubwa,uzito,uboro nk. 4.Kusaidia kutafuta au kuunganisha wenye vito/madini na soko. |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe