Baada ya kutangazwa kwa Bodi mpya ya wakurugenzi ya Bodi ya Utalii hivi karibuni, Bodi hiyo imezinduliwa rasmi leo tarehe 5 Aprili 2012 na Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Ezekiel Maige (Mbunge). Uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi mkuu wa wizara hiyo uliopo makao makuu ya Wizara (Jengo Mpingo) – (image) ... | (Bila tafsiri) | Hariri |