Base (Swahili) |
English |
Tunawapongeza wanaharakati waliojitokeza kuonyesha hali ya kujali kwa kuandamana kuishinikiza serikali kumaliza mgomo wa madaktari ,hii imeonyesha kuwa kati ya wanaharakati waliojitokeza ni wanawake TAMWA, LHRC.TGNP na wengine ambao wameonyesha kuguswa kwa matatizo mbali mbali yaliyojitokeza wakati wa sakata hilo. Hii imeonyesha kuwa wanawake ni jasiri na tunaweza pia.
|
Tunawapongeza activists who turned out to show the state of matter from marching to urge government to end the strike by doctors, this has proved to be among the activists who met women TAMWA, LHRC.TGNP and others that have been shown to react with various problems encountered during this strike. This has shown that women are brave and we can too.
|