Kwa mara nyingine tena WAKIHABIMA ilipokea ugeni wa wafuatiliaji wa shughuli za kiasasi – toka LSF ambao walikutana na wanufaika wa huduma za WAKIHABIMA. Wageni hawa Shadrack Maluli na Esther kilembe waliweza kuongea na wananchi 10 (Me 6/ke 4) viongozi wa kata, afisa maendeleo ya jamii na wazee wa baraza la kata ya Mwenge Mtapika. – Wakati kwenye kata ya Mkomaindo wananchi 10 pia walitoa ushuhuda wa manufaa waliyopata toka asasi yetu na hapa pia viongozi wa mitaa... | (Not translated) | Hindura |