About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/Washema/post/28
: English
Base
English
Kwa mara nyingine tena WAKIHABIMA ilipokea ugeni wa wafuatiliaji wa shughuli za kiasasi – toka LSF ambao walikutana na wanufaika wa huduma za WAKIHABIMA. Wageni hawa Shadrack Maluli na Esther kilembe waliweza kuongea na wananchi 10 (Me 6/ke 4) viongozi wa kata, afisa maendeleo ya jamii na wazee wa baraza la kata ya Mwenge Mtapika. – Wakati kwenye kata ya Mkomaindo wananchi 10 pia walitoa ushuhuda wa manufaa waliyopata toka asasi yetu na hapa pia viongozi wa mitaa...
(Not translated)
Edit