Log in

/Nuruhalisi/news: English

BaseEnglish
Nuru halisi kwa sasa tunafanya usafi wa mazingira mtaa wa markaz ulioko Kata ya ukonga.Hii ni katika kutekekeleza azma ya kusimamia suala zima la utunzaji wa mazingira na kutoa elimu hiyo kwa vitendo.Tunatoa elimu ya umuhimu wa utunzaji wa mazingira,Utunzaji wa taka ngumu na kuzisafirisha toka majumbani hadi katika transfer points,kuharibu vyanzo vya mazalia ya mbu,pia kwa kushirikiana na serikali ya mtaa na wadau wengine tunafanya mchakato wa kupata takwimu sahihi ya makazi ,Idadi ya watu n.k.Light actual status of environmental hygiene we do markaz Street, which is Ward ukonga.Hii kutekekeleza intention is to manage the whole issue of environmental protection and education for vitendo.Tunatoa the importance of education of environmental protection, conservation and waste hard kuzisafirisha Transfer from home to the points, to destroy the mosquito borne sources, also in collaboration with local governments and other stakeholders, we make the process of getting accurate figures of...Edit
Nasasa tunafanya utafiti wa maswala ya ugonjwa wa malaria maeneo ya markazi kwa ujumla na maeneo mengine kuzunguka maeneo hayo japo hatuja fanikiwa kwa sana kutokana na baadhi ya wadau kuto kuonyesha ushirikiano wa kutosha. Tunapata ushirikiano kutoka serikali ya mtaa huo na pia tunashirikiana na manispaa kitengo cha afya.An hundredfold now we do research on malaria issues markazi general areas and other areas around these areas tuja though not very successfully by some stakeholders about getting enough to demonstrate cooperation. We find cooperation from local governments, and we also worked with municipal health unit.Edit