Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/Nuruhalisi/post/2883
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Viongozi na wanachama wa Nuru halisi leo tumefanya usafi katika mifereji ya kandokando mwa barabara ya Mombasa-moshi bar,mitaro hii imekuwa michafu kwa muda mrefu na tumeona ni vyema kuisafisha na ndio tuanze kuzungumza na wafanyabiashara wa kandokando mwa barabara hii pamoja na wamiliki wa machinjio ya Ukonga-mazizini na kujadili namna ambavyo kila mmoja atawajibika kwa sehemu yake
Viongozi Rangi wanachama Wa Nuru Halisi leo tumefanya usafi katika mifereji ya kandokando mwa barabara ya Mombasa-Moshi bar, mitaro michafu Hii imekuwa Kwa muda mrefu Rangi tumeona kuisafisha Ni vyema tuanze kuzungumza Rangi Ndio Wa Rangi wafanyabiashara kandokando mwa barabara Hii pamoja wamiliki Wa Rangi ya machinjio mazizini Ukonga-Rangi kujadili namna ambavyo Kila Mmoja Kwa sehemu yake atawajibika
Hariri