Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Imeundwa mwaka 2011 na kusajiliwa 2012. Viongozi ni wa kuchaguliwa katika Mkutano Mkuu na sasa wanaendelea na shughuli zao. Wanachama wote walihitimu kituo cha Elimu Mbadala, Rahaleo, Zanzibar na wana azma yakujiendeleza na kuhimiza vijana wenzao wajitume kwa kupata mafunzo ya amali |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe