Huruma Care Development ni Taasisi isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na kazi ya kuwasaidia watoto yatima, wanaoishi katika mazingira magumu, walemavu na wajane. – Madhumuni yake makuu ni kuwapatia watoto elimu ili wawe na uwezo wa kuendeleza maisha yao ya baadaye. Pamoja na hayo wajane na walemavu ambao hawana uwezo wa kujisaidia watasaidiwa na Taasisi yetu. – Kwa kifupi Taasisi inajali wale yatima, walemavu, wajane na watoto wanaoishi katika... | (Not translated) | Hindura |