Envaya
/KSM/post/40
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
KASULU SPORTS ACADEMY kikosi B umri chini ya miaka 15 – pichani wakiwa katika mechi ya kirafiki dhidi ya TITYE SPORTS CLUB – katika mechi hiyo timu zote mbili zilifungana goli 1-1
(Bila tafsiri)
Hariri
Kasulu sports Academy yachukua ubigwa kombe La kalanje.baada ya kuwafunga( pwagu)Kasulu kids goli 1-0 nakuzawadiwa kikombe.na pesa taslim elfu.50
(Bila tafsiri)
Hariri
(image)
(Bila tafsiri)
Hariri