Base (Swahili) | English |
---|---|
Kazi tunazozifanya ni za huduma kwa jamii 1. Tunatoa elimu kwa jamii kujikinga na kujizuia maambukizi ya ukimwi na VVU. pia tunatoa huduma na lishe kuwajengea uwezo waathirika wa ukimwi 2. Tunatoa elimu kwa jamii ya kujiajiri wenyewe kuwa wajasiariamali, kupiga hatua ya kupunguza uamsikini pamoja na kuwa na elimu bora ya ujenzi nyumba za kisasa kwa gharama nafuu. 3. Tunatoa elimu ya kutunza mazingira kupanda miti,kutunza uoto wa asili na vyanzo vya maji. 4. Tunatoa elimu kwa vikundi mbalimbali kama viwanda vidogovidogo, wavuvi na wakulima wadogo wadogo katika kuwajengea uwezo wa kupunguza umasikini 5. Tunatoa huduma kwa watoto yatima na wananchi katika mazingira hatarishi kwa kuwapatia lishe bora na elimu ya msingi na kuendelea ili kuboresha maisha yao ya kila siku. 6. Tunatoa huduma kwa wazee kuanzia miaka 70 kwa kuwapatia lishe bora,mavazi na kuwasaidia kuwa na makazi bora. 7. Tunatoa elimu ya msingi kwa jamii kutambua haki zao ni pamoja na kutetea haki za watoto na wanawake, pia kutatua migogoro ya ardhi kwa jamii hasa kwa wafugaji na wakulima MASHIRIKA YANAYOTUFADHILI 1. The Foundation for Civil Society Tanzania MASHIRIKA TUNAYOTEGEMEA UFADHILI 1. UN HABITAT INTERNATIONAL 2. CANADIAN CO-OPERATION OFFICE
SHIRIKA LETU LA MUWOYOPORO - NATIONAL NGO Tunaomba Mashirika makubwa na nchi mbalimbali kutupatia ufadhili, pia tunaomba wenye uwezo kwa kuungana nasi ili tuendeleze kazi hii ya huduma kwa jamii |
The work we do is community service 1. We offer community education to prevent and control HIV / AIDS and HIV. We also provide nutrition services and capacity building of HIV / AIDS victims 2. We provide community education for self employment was wajasiariamali, hitting the stage of reducing the poor with better education and a modern building houses for low cost. 3. We offer environmental education to keep planting trees, keeping vegetation and water sources. 4. We provide education for various groups such as small industries, small-scale fishers and farmers in building capacity to reduce poverty 5. We provide services for orphans and vulnerable countries in the diet to provide basic education and continue to improve their daily lives. 6. We offer services for the elderly from 70 years to provide better nutrition, clothing and shelter and help them be better. 7. We offer primary education to the community to realize their rights include the rights of children and women, also to resolve land disputes in the community, especially for pastoralists and farmers ORGANIZATIONS YANAYOTUFADHILI 1. The Foundation for Civil Society Tanzania ORGANIZATIONS TUNAYOTEGEMEA funding 1. UN HABITAT INTERNATIONAL 2. Canadian CO-operation Office LA MUWOYOPORO our organization - NATIONAL NGO We major organizations and different countries give us funding, we also requested the ability to connect us to develop this work to community service |
Translation History
|