Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
Hassan Luheko Mnaute, mwenyekiti wa Organization for Land and Agriculture Improvement Mobile: 0788 715 532 / 0654 269 456, TANDAHIMBA. Ninatoa wito kwa Asasi za kiraia kuwa, tubuni miradi yenye kuleta faida kwa nia ya kujipatia rasilimali fedha ili kusaidia Asasi zetu kuwa na uwezo wa kujiendesha pia kuwa na amasa kwa wafanyakazi wa Asasi, kufanya kazi kwa ufanisi ili Asasi za kiraia ziweze kuyafia malengo. Tukumbuke Asasi nyingi wafanyakazi wake ni wa kujitolea. ENVAYA juu, ninaiombea isonge mbele. |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe