KATIBA YA KIKUNDI CHA KISESA WOMEN NETWORK – Utangulizi: – Chama cha KISESA WOMEN NETWORK ni miongoni mwa vyama/ vikundi vya hiari vya watu wenye ulemavu/ waishio katika mazingira hatarishi. Kikundi hiki ni kati ya vikundi vinavyotokana na makundi maalum. ... | (Bila tafsiri) | Hariri |