Base (Swahili) | English | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
HISTORIA FUPI YA MOROGORO PRESS CLUB
HISTORIA YA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MOROGORO
Chama cha waandishi wa habari Mkoa wa Morogoro(Morogoro Press Club) mchakato wa kuanzishwa kwake ulianza mwaka 1996 ilipofika tarehe 13/3/1997 ikapata usajiri wizara ya Mambo ya ndani na kupata cheti cha usajili chenye namba. SO.NO.9009 ikiwa na wanachama 20 kwa sasa Morogoro Press Club ina wanachama 70. MADHUMUNI NA MALENGO:
DHAMIRA: "Kuwaimarisha waandishi wa habari Kitaaluma" DIRA: "Kuwa na jamii yenye uhuru wa kujieleza na Uhuru wa Habari" Morogoro Press Club kama ilivyo taasisi nyingine mara baada ya kupata usajili wake ilipita katika hatua mbalimbali za uongozi. Awamu ya kwanza 1997-2000 Ndg.Anaclet Rwegayura-Mwenyekiti Bi.Halima Kihemba -Makamu Mwenyekiti Ndg.Wilson Karuwesa- Katibu na mtunza fedha. wajumbe watatu wa kamati tendaji Ndg.Richard Mwangulube Ndg.Said Mtaalamu Ndg.Aziza Msuya.
Awamu ya pili 2001 hadi 2002 Ndg Said Dogori Mwenyekiti Ndg.Bonventure Mtalimbo-Makamu Mwenyekiti Ndg.Aidan Libenanga(sasa Marehemu)-Katibu Mkuu Bi.Monica Lyampawe- Mtunza fedha. Wajumbe watatu wa kamati tendaji Ndg.Simon Berege Ndg.Halfan Diyu Ndg.Richard Mwangurube. Awamu ya tatu 2002 hadi 2004. Marehemu Seraph Kuandika-Mwenyekiti. Ndg.Bujaga Kadago- Makamu Mwenyekiti. Ndg.Sita Peter wake-Katibu Mkuu. Bi.Merina Robert- katibu Mkuu msadizi. Bi.Kasilda Mgeni- Mtunza fedha. wajumbe watatu wa kamati ya tendaji Nndg.Nikson Mkilanya Ndg.Samweli Msuya Ndg.James Mkisi. Awamu ya nne Julai 2004 hadi 2007. Ndg.Bonventure Mtalimbo- Mwenyekiti Bi.Idda Mushi- Makamu Mw/kiti. Ndg.Thadei Hafigwa- Katibu Mkuu. Ndg.Said Mtaalam katibu mkuu msaidizi Ndg.Samweli Msuya- Mtunza fedha Wajumbe watatu wa kamati tendaji Marehemu Gilbert Suleman Ndg.Said Dogoli. Ndg.Wilson Karuwesa. Awamu ya tano Julai 2007 hadi 2011 Ndg.Bonventure Mtalimbo- Mwenyekiti Bi. Idda Mushi- makamu Mw/kiti Ndg.Thadei Hafigwa -Katibu Mkuu. Bi.Devota Minja K/Msaidizi. Ndg.Samweli Msuya- Mtunza fedha Wajumbe watatu wa kamati tendaji Ndg.Ramadhani Libenaga Ndg.Ashton Balaigwa Bi. Lilian Lucas Awamu ya sita Novemba 2011-2012 Ndg.Aziz Msuya-Mwenyekiti Bi.Devota Minja-Makamu Mw/kiti Ndg.Abedi Dogoli-Katibu Mtendaji Ndg.Samuel Msuya-Mwekahazina Bi.Lilian Lucas-Mwekahazina msaidizi Wajumbe watatu wa kamati tendaji Bi.Latifa Ganzel Bi.Monica Liampawe Ndg.Venance George Ndg.Thadei Hafigwa-Mratibu Awamu ya Saba Machi 2013-2014 Bi.Idda Mushi-Mwenyekiti Ndg.Nickson Mkilanya-Makamu Mw/kiti Ndg.Abedi Dogoli-Katibu Mtendaji Ndg.Ramadhan Libenanga-Katibu Mtendaji Msaidizi Bi.Lilian Lucas-Mwekahazina Ndg.Peter Kimath-Mwekahazina Msaidizi Wajumbe watatu wa kamati tendaji Bi.Vaileth Mbwillo Ndg.Fadhil Rashid Ndg.Ashton Balaigwa Ndg.Thadei Hafigwa-Mratibu KAMATI YA MAADILI MOROGORO PRESS CLUB 2007-2011 Rashid Lusewa-Mwenyekiti wa Kamati ya MaadilI Rev.Fr.Raphael Kigunga Sheikh Mohamed Kairo Rev.Johnson Chuma. KAMATI YA MAADILI MOROGORO PRESS CLUB 2011-2014 Rashid Lusewa-Mwenyekiti Ndg.Wilson Karuwesa Sheikh Ally Omar-Mjumbe Rev.Fr.Makseyo-Mjumbe Ndg.Halfan Diyu-Mjumbe Ndg.Idda Mushi-Mjumbe Ndg.Thadei Hafigwa-Mjumbe Ndg.Abedi Dogoli-Mjumbe Ndg.Lilian Justice-Mjumbe Pia Morogoro Press Club ina kamati ndogondogo za kusaidia kuharakisha utekelezaji wa majukumu ya kila siku. Kamati ya mikutano,mialiko na Press conference. Kamati ya mipango uchumi na fedha Kamati ya michezo na burudani Kamati ya ustawi wa wanachama(majanga) Kamati ya mipango na maendeleo ya wanachama. Kamati ya mahusiano ya ndani na nje. Wenyeviti wa kamati hizi ni wajumbe wa kamati ya utendaji ambao kila mmoja anawasilisha taarifa ya kazi zao katika kamati tendaji kabla ya kuwasilishwa kwenye mkutano mkuu wa wanachama wote. Mkoa wa Morogoro una waandishi wapatao zaidi ya 100 walio wanachama wanaofanyakazi katika vyombo mbalimbali vya habari vya serikali na binafsi. MAFANIKIO YA CHAMA. MOROPC imepata mafanikio makubwa yakiwemo;
Ofisi ya MOROPC ipo katika jengo la Chama cha Walimu Tanzania(CWT) iliopo kata ya Kingo mkabala ya Mahakama ya mwanzo ya Nunge. MIKAKATI YA KLABU. Pamoja na mafanikio yote hayo pia MOROPC ina mikakati ya muda mrefu na muda mfupi,ikiwa ni pamoja na kuanzisha kituo cha HABARI Information (CENTRE). Kuanzisha jarida la chama kwa ajili ya kupanua wigo wa kuwaweka wananchi karibu. MAHUSIANO NA TAASISI ZINGINE MOROPC imekuwa na mahusiano na taasisi za ndani na nje ya nchi AkibaUhaki foundation iliopo Nchini Kenya,Umoja wa Klabu za waandishi wa Habari Tanzani(UTPC) na Baraza la Habari Tanzania(MCT) CHANGAMOTO Morogoro Press Club kwa sasa ina toa huduma kwenye jengo la kupanga hivyo haina jengo lake. MOROPC inakabiliana na changamoto ya raslimali fedha kwa ajili ya kutekeleza mipango mkakati ya kuimarisha taasisi na wanachama wake. ORODHA YA WANACHAMA
|
SHORT HISTORY OF PRESS CLUB MOROGOROClub history Reporters Morogoro Region Association of the reporters Morogoro Region (Morogoro Press Club) the process of its establishment was started in 1996 came on 13/3/1997 was struck registration ministries of Interior and obtain a certificate of registration numbers. SO.NO.9009 with 20 members currently Morogoro Press Club has 70 members. OBJECTIVES AND GOALS:
MISSION: "Reinvigorate the reporters Professional" VISION: "Having a community of freedom of expression and freedom of information" Morogoro Press Club as other institutions immediately after its registration was carried in various stages of leadership. First Phase 1997-2000 Ndg.Anaclet Rwegayura-Chair Bi.Halima Kihemba-Vice Chairman Ndg.Wilson Karuwesa-secretary and treasurer. three members of the Executive Committee Ndg.Richard Mwangulube Ndg.Said Specialist Ndg.Aziza Msuya. Phase II 2001 to 2002 Ndg drum Said Chair Ndg.Bonventure Mtalimbo-Vice Chairman Ndg.Aidan Libenanga (now deceased)-Secretary-General Monica Lyampawe-Cashiers. Three members of the Executive Committee Ndg.Simon Berege Ndg.Halfan Diyu Ndg.Richard Mwangurube. Three phase 2002 to 2004. Writing Seraph late-Chair. Ndg.Bujaga Kadago-Vice Chair. Peter Ndg.Sita wake-Secretary-General. Robert Bi.Merina assistant-secretary general. Bi.Kasilda Guest-Cashiers. three members of the executive committee Nndg.Nikson Mkilanya Ndg.Samweli Msuya Ndg.James deficiency. The fourth phase in July 2004 to 2007. Ndg.Bonventure Mtalimbo-Chair Bi.Idda Mushi-Vice Mw / seat. Ndg.Thadei Hafigwa-Secretary-General. Expert Ndg.Said assistant secretary general Ndg.Samweli Msuya-Cashiers Three members of the Executive Committee Late Gilbert Suleman Ndg.Said Dogoli. Ndg.Wilson Karuwesa. The fifth phase in July 2007 to 2011 Ndg.Bonventure Mtalimbo-Chair Bi. Idda Mushi-vice Mw / seat Ndg.Thadei Hafigwa-Secretary-General. Bi.Devota Minja K / Counselor. Ndg.Samweli Msuya-Cashiers Three members of the Executive Committee Ndg.Ramadhani Libenaga Ndg.Ashton Balaigwa Bi. Lilian Lucas Phase six in November 2011-2014 Ndg.Aziz Msuya-Chair Bi.Devota Minja-Vice Mw / seat Ndg.Abedi Dogoli-Executive Secretary Bi.Lilian Lucas-Mwekahazina Three members of the Executive Committee Bi.Latifa Ganzel Monica Liampawe Ndg.Venance George Ndg.Thadei Hafigwa-Coordinator ETHICS COMMITTEE PRESS CLUB MOROGORO 2007-2011 Rashid Lusewa-Chair of the Ethics Committee Rev.Fr.Raphael acacia Sheikh Mohamed Cairo Rev.Johnson Iron. ETHICS COMMITTEE PRESS CLUB MOROGORO 2011-2014 Rashid Lusewa-Chair Ndg. Sikalumba (Advocate)-Secretary of the Committee on Ethics Ndg.Wilson Karuwesa Ally Sheikh Omar-member Rev.Fr.Makseyo-member Ndg.Halfan Diyu-member Ndg.Aziz Msuya-member Ndg.Thadei Hafigwa-member Ndg.Abedi Dogoli-member Ndg.Lilian Justice-Member Also Morogoro Press Club has a small committee to help accelerate the implementation of daily duties. Committee meetings, invitations to Press conference. Committee on economic and financial plans Committee... |
Translation History
|