LINGONET kwa ufadhili wa The Foundation For Civil Society imetekeleza mradi wa Kuimarisha uhusiano wa wananchi na wabunge majimboni kwa kufanya midahalo katika majimbo matatu ya LindiMjini ,Mtama na Mchinga,midahalo hii ilihusu Mchakato wa Katiba mpya,Utawala bora,Usawa wa kijinsia na Mabadiliko ya tabianchi. – midahalo ilifanyika katika vijiji vya Mtama,Nyangao,Madangwa,Mnazimmoja,Ng'apa,Mchinga,Milola,Mitwero na Lindi mjini,watu mbalimbali walihudhuria na kutoa michango yao ya... | (Bila tafsiri) | Hariri |