kukingana na ukubwa wa tatizo shirika limeamua kuchukua idadi ndogo ya walengwa ambao litaanza nao kwanza kwa awamu ya kwanza kulingana na uwezo wa shirika na mchango wa wafadhili. – Kwa upande wa makundi shiriki yote yameanza kufanya kazi za mikono kama ujasiriamali mdogo kilingana na rasilimali walizo nazo katika jamii yao, baadhi yao wameelezea changamoto wanazokutana nazo wakati wa utendaji kazi kama zinalenga kuwakwamisha ikiwa tu hawata simama imara. ... | (Bila tafsiri) | Hariri |