Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
LICHIDE lengo kuu ni kuyatambua na kuyasaidia makundi ya kijamii yalio katika hatari ya kuathiriwa na umasikini wakiwemo watoto yatima na walio katika mazingira hatarishi,walemavu, wajane, wazee wanaolea watoto yatima, watu wanaishi na virusi vya UKIMWI na kuishirikisha jamii kushiriki kusaidia makundi ya kijamii yalio katika hatari ya kuathiriwa na umasikini. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe