| (image) NYAKITONTO YOUTH FOR DEVELOPMENT TANZANIA-Imekamilisha Mkakati na Maandalizi ya Kupokea Ugeni wa SAVE MY TALENTS-Kutoka Dar es salaam. – Mabalozi wa NYDT Talents Kigoma ambao wanawakilisha wenzao wengi hapa kigoma wanashauku na Furaha ya Ko\upekea Ugeni huu. – Katika Kikao cha pamoja ,Tarehe 5 na 6,oktober,2012 wamekuwa na Maswali mengi na kuomba Asasi zingine ziige mfano Nyakitonto youth for development... | (Not translated) | Hindura |