| Base (Swahili) | English |
|---|---|
|
Ndugu,Lawrance Chuma kutoka AGENDA PARTICIPATION,mwezeshaji wa mafunzo ya kujengea uwezo wanachama wa Nyakitonto Youth for Develpment Tanzania.Anawezesha somo la kupanga mapato na matumizi kwa kuzingatia vipaumbele vya asasi kwa jamii. |
(Not translated) |
