Base (Swahili) | English |
---|---|
TUPO KATIKA MCHAKATO WA USAJILI WA NGO YETU,KATIBA ,WASIFU WA VIONGOZI WATATU YAANI CV NA PICHA ZAO,MUHTASARI WA KIKAO CHA KUANZISHA SHIRIKA UKO TAYARI NA BARUA TOKA MTENDAJI WA KIJIJI(VEO) YA UTAMBULISHO TUNAYO,WIKI IJAYO TUNAPELEKA MAOMBI YETU WILAYANI/HALMASHAURI BAADA YA HAPO MKOANI MWISHOWE KWA MSAJILI WA NGO KTK WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, TOGETHER WE BUILD SOCIETY JIONI NJEMA |
We are in the process of registering OF OUR NGO, THE CONSTITUTION, THE BIOGRAPHY OF THREE LEADERS AND PICTURE THEIR CV, Session SUMMARY OF ORGANISATION IS READY TO ESTABLISH A LETTER FROM THE EXECUTIVE VILLAGE (VEO) THE IDENTITY we have, We bring REQUEST OUR NEXT WEEK District / BOARD AFTER THE HAZARDS IN THE REGISTRAR OF NGO Finally KTK MINISTRY OF COMMUNITY DEVELOPMENT, TOGETHER WE BUILD SOCIETY Comments GOOD |
Translation History
|