KAESO IMETEKELEZA MIRADI KAMA IFUATAVYO – - ELIMU YA HIFADHI YA MISITU NA VYANZO VYA MAJI – - ELIMU YA SERA YA MISITU – - MAPAMBANO DHIDI YA MAAMBUKIZO MAPYA YA UKIMWI – - ELIMU YA MAPAMBANO DHIDI YA UGONJWA WA MALARIA – - UANZISHAJI WA VITARU VYA MITI NA KUISAMBAZA KWA WANANCHI – - MISAADA KWA WATOTO YATIMA WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU | (Bila tafsiri) | Hariri |