Fungua

/KAWOA/post/117274: Kiswahili

AsiliKiswahili
KAWOA : – Kwa sasa tumepamba moto na kuelimisha wanawake wajue fursa zao kwani wanawake wanaozungukwa na mgodi wanathirika sana hivyo watoto wa kike na wazee tunawaelimisha juu ya ujasilia mali(Bila tafsiri)Hariri