Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
Kupitia mradi wa Utetezi, jinsia na UKIMWI unaofadhiliwa na GIZ, MANGONET imeendesha mafunzo mbalimbali katika Wilaya ya Masasi. Tarehe 20/4/2012 MANGONET iliendesha mafunzo ya Afya ya uzazi, jinsia na UKIMWI katika ukumbi wa mikutano uliopo katika ofisi ya MANGONET, mafunzo hayo yalishirikisha washiriki mbalimbali kutoka kila Kata za Wilaya ya Masasi. Mwezeshaji wa mafunzo hayo alikuwa ni Bi. Tryphonia Malibiche mkunga wa Hospitali ya Wilaya Mkomaindo, idadi ya washiriki alikuwa 54 (KE 28 na ME |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe