Envaya

/MEECO/projects: English: WI00092658928A4000028556:content

Base (Swahili) English

Kwa kufuata sheria na taratibu za nchi jumuiya inafanya kazi zifuatazo:

  1. Kutoa elimu ya Mazingira kwa ujumla.
  2. Kutoa elimu ya Maadili
  3. Kutoa elimu ya Utamaduni.
  4. Kuengeza kiwango cha Elimu kwa wanachama na wanajamii kwa ujumla.

Miongoni mwa shughuli za jumiya ni:

  • Kutunza, kuhifadhi na kulinda mazingira.
  • Kufanya dhiara mbali mbali kwa ajili ya kuhamasisha jamii juu ya umuhimu wa utunzaji na uhifadhi wa mazingira  mjini na vijijini.
  • Kuwashajihisha vijana waachane na vikundi viovu, uvutaji wa madawa ya kulevya na vitendo vya uasharati.
  • Kudhibiti utupaji ovyo wa takataka nakadhalika

 

                                   

By following the rules and regulations of the country operates the following communities:

  1. Environmental education in general.
  2. Moral education
  3. Cultural education.
  4. Kuengeza level of education for members and the community at large.

Among the activities jumiya are:

  • Maintaining, preserving and protecting the environment.
  • Make dhiara off for mobilizing the community about the importance of preservation and conservation of urban and rural environments.
  • Kuwashajihisha youth to shun omissions groups, smoking drugs and acts of the excess.
  • Control discharge of waste disposal, etc.

 



In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
July 18, 2011
By following the rules and regulations of the country operates the following communities: – Environmental education in general. Moral education Cultural education. Kuengeza level of education for members and the community at large. Among the activities jumiya are: ...