Log in

/MEECO/post/89984: English

BaseEnglish
Katibu wa Jumuiya ya MEECO ndugu Suleiman Jeni Pandu akimkabidhi Taarifa ya Mafanikio na Changamoto za wanajamii wa wilaya ya Kusini, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Ali Mohammed Shein katika kijiji cha jozani alipokuwa katika ziara yake ya kutembelea Mikoa yote ya Zanzibar kuangalia Miradi mbalimbali ya Meendeleo Mikoani humo. (image)(Not translated)Edit