Shirika letu lilianza mwaka 2008 kwa lengo la kuboresha maisha ya wanajamii katika jamii yetu inayotuzunguka ili iweze kujikinga na maambukizi ya VVU haswa walengwa wakiwa ni vijana kati ya miaka 18 hadi 45 ambao ndio nguvu kazi ya taifa. Shirika lilianza kwa kutoa eimu kwa njia za kukusanya makundi rika, wanafunzi mashuleni na wafanyakazi za baa na katika mashamba ya kilimo cha msimu mfano kilimo cha tumbaku. – Tangu kuanzishwa kwa shirika letu kumekuwa na mafanikio... | (Not translated) | Edit |