Kuna tabu kubwa sana inayowkumba wanafunzi wa shule zilizo nje kidogo ya mjini kwa kuwa wanakataziwa na makonda kupanda na wasafiri wakubwa hatuwasaidii kuwatetea watoto hawa halafu tunalaani kufeli kwao tukiilaumu serikali kutokuwa na miundo mbinu wakati sisi hatusapoti chochote. | (Bila tafsiri) | Hariri |