Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
NGOME imefungua tawi jingine la klabu ya wanafunzi kama zilivyo klabu zingine za NGOME katika shule za sekondari ya Mikindani na Mitengo. Klabu hiyo ya NGOME imefunguliwa katika shule ya sekondari NDUMBWE Mtwara vijijini. Klabu hizi ni kwaajili ya Elimu ya Afya ya Uzazi na Stadi za Maisha kwa wanafunzi wa sekondari, ambao hufundishwa na wataalam wa Afya kutoka NGOME na kufundishana wao kwa wao{UELIMISHAJI RIKA} baada ya kupata mafunzo kutoka kwa wataalam. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe