Envaya
/NGOME/post/22139
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Matokeo ya Utafiti huu unaoendelea yatawekwa katika tovuti hii na kukaribisha mchango wa mawazo ya kuboresha utafiti na njia za kuondoa tatizo hilo.
(Not translated)
Hindura
NGOME inafanya Utafiti wa Matatizo yanayofanya kuwe na Ndoa zinazovunjika mara kwa mara katika kata za Ufukoni na Mpapura ili kupanga mbinu mbadala ya kutatua tatizo hili linalopelekea maambukizi ya UKIMWI kuzidi kuenea kwa kasi kubwa pamoja na watoto wa Mitaani.
(Not translated)
Hindura