Envaya

/LANGO/news: English: WI00094CD0B7FEA000024551:content

Base (Swahili) English

Waswahili hunena "Hayawi, hayawi, sasa yamekuwa" Ni ukweli usiopingika wala kufichika kwamba hakuna njia ya mkato ili kufikia katika mafanikio kwenye jambo lolote. Nadiriki kusema hivyo kutokana na ukweli kwamba Mtandao wa Asasi za Kiraia Mkoa wa Lindi (LANGO) kama ambavyo unajulikana kwa jina maarufu umepitia katika changamoto lukuki tangu kuanzishwa kwake katikati ya mwaka 2007. Moja wapo ya changamoto kubwa ni; kuanzishwa na kujiendesha kwa kutumia raslimali fedha chache ilizokuwa inakusanya kutoka kwa wanachama wake ambao mara nyingine ililazimu kuwafuatilia na vitabu vya stakabadhi katika mikutano, warsha na matukio mengine yanayofanana na hayo ili kuwabana wawakilishi kutoka katika Mitandao ya wilaya wanachama ili angalau walipe kiasi fulani cha deni linalodaiwa mtandao wao na LANGO. Hali hiyo naamini baadhi ya wana asasi hawakufurahishwa nayo lakini kimsingi hakukuwa na jinsi wala namna ya kuufanya mtandao huu usonge mbele kama si kufanya hivyo ikizingatiwa kwamba LANGO ndio Mtandao wa Mkoa wa Lindi wenye hadhi sawa na Mitandao ya Mikoa mingine kama vile; UNGO (Morogoro), RANGO (Rukwa), ANGONET (Arusha) n.k.

Kwa niaba ya Bodi ya Usimamizi ya LANGO na mimi binafsi tunafarijika kupata mwaliko wa kuhudhuria Mafunzo ya Usimamizi wa Ruzuku (MYG) toka The Foundation for Civil Society (FCS) baada ya kuandika mara mbili tofauti kuomba ruzuku pasipo mafanikio. Kwa mantiki hiyo napenda kuwaasa wana asasi wenzangu kwamba hakuna mafanikio yanayokuja kama mvua pasipo kutumia jitihada na maarifa na kutokata tamaa. Ni vyema asasi changa na zilizoanzishwa karibuni kujifunza kutoka kwa LANGO kwani ukiomba ruzuku si lazima upate mara moja kwani kila mzunguko kuna AZAKi nyingi kutoka kona zote za nchi ambazo huomba kwa FCS. Ni vyema tujifunze kuwa wabunifu na kuwa wadadisi wa nini hasa kinachotakiwa kufanyika ambacho huwa hatukifanyi na hivyo kupelekea maandiko yetu kutopendekezwa kufadhiliwa na FCS, hakika inawezekana timiza wajibu wako!!!!

Swahili is spoken "very far, not yawi, now have been" It's not opingika nor hid the fact that there is no shortcut to achieving the success in anything. Nadiriki say so due to the fact that the Network of Civil Society Lindi Region (door) is known as a famous name has passed into myriad challenges since its inception in mid 2007. One of the biggest challenges are: the establishment and independence in using resources to finance a few ilizokuwa collects from its members who once ililazimu track books of receipts in meetings, workshops and other events similar to kuwabana representatives from the Networks of the district members to at least pay a certain amount of debt linalodaiwa their network and gate. This situation I believe some have institutions were pleased with it but basically there was no way or manner of making this network twisted forward as not doing so given that the door is Network Lindi with the same terms and Networks Other regions such as, NGO (Morogoro) , camp (Rukwa), ANGONET (Arusha), etc.

On behalf of the Board of Management of the door and I am personally relieved that we get an invitation to attend a Management Training Grants (MYG) from The Foundation for Civil Society (FCS) after writing two separate request subsidies without success. In this context I would kuwaasa fellow institutions that have successfully come as no rain without using kutokata effort and knowledge and desire. It is well established institution in its infancy and the latest study from the entrance because you ask not necessarily get a grant once every cycle since there are many CSOs from all corners of the country that are requested for FCS. It is best to learn to be creative and be skeptical of what exactly needs to be done that do not practice and thus leading to our literature kutopendekezwa sponsored by FCS, surely it is possible to fulfill your responsibility!!


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
June 11, 2011
Swahili is spoken "very far, not yawi, now have been" It's not opingika nor hid the fact that there is no shortcut to achieving the success in anything. Nadiriki say so due to the fact that the Network of Civil Society Lindi Region (door) is known as a famous name has passed into myriad challenges since its inception in mid 2007. One of the biggest challenges are: the establishment and independence in using resources to finance a few ilizokuwa collects from its members who once ililazimu...